Swahili NAFASI YA MWANAMKE KATIKA JAMII

Help

NAFASI YA MWANAMKE KATIKA JAMII

Darasani tumeongelea nafasi sawa katika bunge, tumeangalia katiba ya Kenya kidogo lakini hatukuongelea matarajio ya nafasi ya mwanamke. Tuendelee na mjadala huu. Swali liliulizwa kama wanaume wako tayari kuoa wanawake wenye elimu sawa na mapato sawa au zaidi kuwaliko. Swali hili halikujibiwa kwa hivyo tunaweza kuanzia hapo.

Need help?

Discussion

Discussion lets you and your classmates communicate and exchange ideas. You can start a discussion by posting a new Discussion topic; others can discuss or debate the topic by posting comments in the discussion. You can also start a new discussion pertinent to a particular concept introduced in a unit by referencing the relevant unit section via a discussion topic.